MAAFISA wawili mmoja wa mamlaka ya mapato nchini(TRA) na mwingine wa kampuni ya Majembe Action Mark kwa pamoja wamekamatwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma ya kuomba na kupokea rushwa ya sh. 100,000. kutoka kwa mjasiriamali anayeshuhulika na kazi za urembo wa saluni. ..... habari zaidi
Mjumbe wa kamati ya Utekekelezaji Umoja wa Vijana CCM Taifa Ridhiwani Kikwete akifungua Tawi la CCM shule ya Kijitonyama katikata nikamanda wa vijana Kata ya Kijitonyama Tony Ngombale Mwiru na kushoto ni Ismail Mwenda katibu Mwenezi CCM tawi la Bwawani.